Kama ungependa kusoma kitabu chote cha Mganga Ajabu Wa Au, nitumie ujumbe nami nitakapomaliza kuitafsiri utakuwa wa kwanza kuipata. Chapisho hili halitakuwa na makosa ya kisarufi kama ilivyosasa.
Hii ni tafsiri ya kitabu cha L. Frank Baum, The Wonderful Wizard of Oz. Jina lake baada ya kufikiri na kuchunguza maana ya Oz nimeona katika kiswahili ,"Mganga Ajabu Wa Au." Oz lilitokana na ufupisho wa neno Ounce ambacho ni kipimo cha dhahabu, Kwa ksiwahili ni Aunsi nami nikafupisha likawa Au, ambayo imenipa Mganga Au. I will publish a chapter by chapter of the whole book. Copyright 2011
Comments
Post a Comment