Hii ni tafsiri ya kitabu cha L. Frank Baum, The Wonderful Wizard of Oz. Jina lake baada ya kufikiri na kuchunguza maana ya Oz nimeona katika kiswahili ,"Mganga Ajabu Wa Au." Oz lilitokana na ufupisho wa neno Ounce ambacho ni kipimo cha dhahabu, Kwa ksiwahili ni Aunsi nami nikafupisha likawa Au, ambayo imenipa Mganga Au.
I will publish a chapter by chapter of the whole book.
Copyright 2011
I will publish a chapter by chapter of the whole book.
Copyright 2011
Safi sana! Nakutakisha kila la heri kwa utafsiri wako. Je, unatafsiri neno "Scarecrow" vipi? Nakuuliza kwa sababu mimi na rafiki yangu tunajaribu kutafsiri kitabu kingine ambacho kinaitwa "The Scarecrow and His Servant" ... na hatujapata neno lizuri. - Sara
ReplyDeleteTunashukuru sana :)
ReplyDelete